Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن ابن عباس رضي اللَّه عنهما أَن رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم رأى خَاتماً مِنْ ذَهَبٍ في يَد رَجُلٍ ، فَنَزعَهُ فطَرحَهُ وقَال : « يَعْمَدُ أَحَدُكُمْ إِلَى جَمْرَةٍ مِنْ نَارٍ فَيجْعلهَا في يَدِهِ ، » فَقِيل لِلرَّجُل بَعْدَ مَا ذَهَبَ رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : خُذْ خَاتمَكَ ، انتَفعْ بِهِ . قَالَ : لا واللَّه لا آخُذُهُ أَبَداً وقَدْ طَرحهُ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم .    رواه مسلم


Kutoka kwa Ibn ‘Abbas Radhi za Allah ziwe juu yake kwamba: Mtume aliona pete ya Dhahabu katika kidole cha mtu. Akamtoa (katika kidole chake) na kuitupa. Kisha Akasema: [Anakusudia Mmoja kuliweka kaa la moto katika mkono wake!(kidole chake)] Akaambiwa yule mtu baada ya kuondoka Mtume ﷺ. Ichukue pete yako na ufaidike nayo. Akasema: Hapana! Naapa kwa Jina la Mwenyezi Mungu, siichukui kabisa baada ya kutupwa na Mtume.    [Imepokewa na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668271
TodayToday959
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 9

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866ce8bd53255464838491751568011
title_6866ce8bd541513564603311751568011
title_6866ce8bd54f419966364161751568011

NISHATI ZA OFISI

title_6866ce8bd6ac015719263111751568011
title_6866ce8bd6baf6511022621751568011
title_6866ce8bd6c8e3356643871751568011 Add content here

HUDUMA MPYA

: 15 + 1 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com