Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عنْ أَبِي سَعيد الْخُدْرِيِّ رضي اللَّه عنه عن النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « إِيَّاكُم وَالْجُلُوسَ في الطرُقاتِ » فقَالُوا : يَا رسَولَ اللَّه مَالَنَا مِنْ مَجالِسنَا بُدٌّ ، نَتحدَّثُ فِيهَا ، فقال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : فَإِذَا أَبَيْتُمْ إِلاَّ الْمَجْلِس فَأَعْطُوا الطَّريقَ حَقَّهُ» قالوا: ومَا حَقُّ الطَّرِيقِ يا رسولَ اللَّه ؟ قال : « غَضُّ الْبَصَر ، وكَفُّ الأَذَى، ورَدُّ السَّلامِ ، وَالأَمْرُ بالْمعْروفِ ، والنَّهْيُ عنِ الْمُنْكَرَ »     متفقٌ عليه


kutoka kwa Sa’iyd Al-Khudriy Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: [Nawatahadharisheni na kukaa njiani (mabarazani) ] Wakasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu! Hatuna budi kukaa katika mabaraza yetu tukizungumza. Akasema Mtume ﷺ [Ikiwa hamna budi ila kuketi, basi ipeni Njia haki zake ] Wakauliza: Ni zipi haki za njia Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu? Akasema: [Kuinamisha macho chini, (kutotizama ya haramu) na kuondoka udhia, na kurudisha salamu, na kuamrisha mema na kukataza maovu.]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355482
TodayToday598
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 140

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8eb64acae520722826581791552356
title_6ac8eb64acb359618772871791552356
title_6ac8eb64acb815464636451791552356

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8eb64ad22f18938156041791552356
title_6ac8eb64ad27c21378682761791552356
title_6ac8eb64ad2c913685044111791552356 Add content here

HUDUMA MPYA

: 5 + 10 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com