Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وَعَنْ أَبِي موسى الأَشْعَرِيِّ رضيَ اللَّهُ عنه ، عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم أَنَّهُ قال: « الخَازِنُ المُسْلِمُ الأَمِينُ الذي يُنَفِّذُ ما أُمِرَ بِهِ ، فَيُعْطِيهِ كَامِلاً مَوفَّراً ، طَيِّبَةً بِهِ نَفْسُهُ فَيَدْفَعُهُ إِلى الذي أُمِرَ لَهُ بِهِ أَحَدُ المُتَصَدِّقَيْنِ »     متفقٌ عليه

وفي رواية : « الذي يُعْطِي مَا أُمِرَ بِهِ


Kutoka kwa Abuu Muwsaa Al-Ash’ariy Radhi za Allah ziwe juu yake kutoka Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Muweka hazina Muislamu, ni yule aliye mwaminifu anaetekeleza anayoamrishwa akatoa kwa ukamilifu ilihali nafsi yake iko safi akampa yule alieamrishwa kumpa, basi huyo ni kaitka wenye  kutoa Sadaka.]

Na katika Riwaya nyengine: [Yule ambaye anatoa katika yale aliyomrishwa.]    [Imepokewa na Bukhri na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 114

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e16d955e211049666131791549805
title_6ac8e16d9563210709998651791549805
title_6ac8e16d9567d18656607451791549805

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e16dac02f6931462671791549805
title_6ac8e16dac09a4574961611791549805
title_6ac8e16dac0e616865005341791549805 Add content here

HUDUMA MPYA

: 12 + 4 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com