BUSTANI YA WATU WEMA
{قال تعالى : {إِنَّمَا الْمُؤْمِنُونَ إِخْوَةٌ
{وقال تعالى إخباراً عن نوح صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّم: { وَأَنصَحُ لَكُمْ } وعن هود صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّم: { وَأَنَا لَكُمْ نَاصِحٌ أَمِينٌ
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Hakika Waumini ni ndugu] [Suuratul Al H'ujuraat:15]
Na Mwenyezi Mungu anaelezea Habari ya Nabii Nuuh alipowaabia kaumu yake [Na ninakunasihini] [7:62] na kuhusu Nabii Huud aliposema walingania kaumu yake :
[Na mimi kwenu ni mwenye kukunasihini, muaminifu.] [Suurat Al-A'raaf: 68]
شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 844 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.