Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


RIYADHU


وعن أَبِي هريرة رضي اللَّه عنه أَن رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : «منْ دَعَا إِلَى هُدًى كَانَ لَهُ مِنَ الأَجْرِ مِثْلُ أُجُورِ منْ تَبِعَهُ لا ينْقُصُ ذلِكَ مِنْ أُجُورِهِم شَيْئاً ، ومَنْ دَعَا إِلَى ضَلاَلَةٍ كَانَ عَلَيْهِ مِنَ الإِثْمِ مِثْلُ آثَامِ مَنْ تَبِعَهُ لا ينقُصُ ذلكَ مِنْ آثَامِهِمْ شَيْئاً »      رواه مسلم


Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake ya kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ amesema: [Mwenye kulingania (watu) katika uongofu atapata thawabu mfano wa wale wenye kumfuata wala hilo haliwapunguzii thawabu zao hata kidogo. Na yeyote atakayewaita watu katika upotevu atapata madhambi mfano wa madhambi ya wale wenye kumfuata na wala hilo halitawapunguzia madhambi hata chembe.]       [Imepokewa na Muslim]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 122

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e1a01af057503228421791549856
title_6ac8e1a01af569600433181791549856
title_6ac8e1a01afa25478998531791549856

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e1a01b58418317229901791549856
title_6ac8e1a01b5d14746048351791549856
title_6ac8e1a01b5ee3158682481791549856 Add content here

HUDUMA MPYA

: 1 + 9 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com