BUSTANI YA WATU WEMA
وعن أَبِي مسعودٍ عُقبَةَ بْن عمْرٍو الأَنْصَارِيِّ رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَنْ دَلَّ عَلَى خَيْرٍ فَلهُ مثلُ أَجْرِ فَاعِلِهِ » رواه مسلم
Kutoka kwa Abii Mas’uwd Uqbah bin Amru Al Answariy Radhi za Allah ziwe juu yake amesema Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ : [Mwenye kujulisha kheri, atapa Ujira kama wa Mwenye kutenda.] [Imepokewa na Muslim]
![]() | Today | 892 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.