BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبِي موسى رضي اللَّه عنه قال : احْتَرق بيْتٌ بالْمدِينَةِ عَلَى أَهلِهِ مِنَ اللَّيْل فَلَمَّا حُدِّث رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم بِشَأْنِهمْ قال : « إِنَّ هَذِهِ النَّار عَدُوٌّ لكُمْ ، فَإِذَا نِمْتُمْ فَأَطْفِئُوهَا عَنْكُمْ » متَّفقٌ عليه
Kutoka kwa Abuu Musaa Radhi za Allah ziwe juu yake Amesema: Iliteketea nyumba Madina wakati wa usiku na wenyewe wamo ndani. alipohadithhiwa Mtume ﷺ habari hiyo, alisema: [Hakika huo moto ni adui yenu, mnapolala uzimeni. ] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
![]() | Today | 888 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.