BUSTANI YA WATU WEMA
{قال اللَّه تعالى : {طه مَا أَنزَلْنَا عَلَيْكَ الْقُرْآنَ لِتَشْقَىٰ
{وقال تعالى : {يُرِيدُ اللَّهُ بِكُمُ الْيُسْرَ وَلَا يُرِيدُ بِكُمُ الْعُسْرَ
Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[T'AHA!Hatukukuteremshia Qur'ani ili upate mashaka.] [Ta'ha:1-2]
Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:
[Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito] [Sura Al-Baqara:185]
شرح مقدمة الباب مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 1118 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.