Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أَبِي موسى رضي اللَّه عنه ، عن النبى صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال : « عَلَى كُلِّ مُسْلِمٍ صدقةٌ » قال : أَرَأَيْتَ إِنْ لَمْ يَجدْ ؟ قالَ : « يعْمَل بِيَديِهِ فَينْفَعُ نَفْسَه وَيَتَصدَّقُ » : قَال : أَرَأَيْتَ إِنْ لَمْ يسْتطِعْ ؟ قال :« يُعِينُ ذَا الْحَاجَةِ الْملْهوفَ » قالَ : أَرأَيْت إِنْ لَمْ يسْتَطِعْ قالَ : « يَأْمُرُ بِالمَعْرُوفِ أَوِ الْخَيْرِ » قالَ : أَرأَيْتَ إِنْ لَمْ يفْعلْ ؟ قالْ : «يُمْسِكُ عَنِ الشَّرِّ فَإِنَّهَا صدَقةٌ »    متفقٌ عليه


Kutoka kwa  Abuu ‘Adiyy bin Haatim Radhi za Allah ziwe juu yake amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ akisema: [Kila Muislamu inampasa kutoa sadaka.] Maswahaba wakamuuliza: Je itakuwaje asipopata cha kutoa? Akajibu: “Afanye kazi kwa mikono yake ajinufaishe na atoe sadaka.” Akauliza: Jee, asipoweza? Akamwambia: [Atamsaidia mwenye haja anayesononeka.] Akamuuliza: Jee, asipoweza? Akajibu: “Ataamrisha wema au Kheri ” Akauliza: Jee, asipofanya? Akamjibu: “Atajizuia kutenda shari, kwani huko pia ni kutoa sadaka]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 120

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e1a133b2116782656371791549857
title_6ac8e1a133b7270131371791549857
title_6ac8e1a133bbf9345752181791549857

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e1a1342277543097831791549857
title_6ac8e1a13427512358769141791549857
title_6ac8e1a1342c14856486841791549857 Add content here

HUDUMA MPYA

: 12 + 2 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com