BUSTANI YA WATU WEMA
عنْ أَنَسٍ رضي اللَّه عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « إِنَّ اللَّه لَيرْضَى عَنِ الْعَبْدِ أَنْ يَأْكُلَ الأَكْلَةَ فيحْمدَهُ عليْهَا ، أَوْ يشْربَ الشَّرْبَةَ فيحْمدَهُ عليْهَا » رواه مسلم
Kutoka kwa Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: [Mwenyezi Mungu Humridhia mja anapokula mlo mmoja, Amshukuru Mwenyezi Mungu kwa kukila, au anapokunya funda moja la maji Amshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunywa hicho kinywaji.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 938 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.