Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عَنْ عدِيِّ بنِ حاتِمٍ رضي اللَّه عنه قال : سمِعْتُ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقول : « اتَّقُوا النار وَلوْ بِشقِّ تَمْرةٍ »   متفقٌ عليه
وفي رواية لهما عنه قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَا مِنْكُمْ مِنْ أَحَدٍ إِلاَّ سيُكَلِّمُه ربُّه لَيْس بَيْنَهُ وبََينَهُ تَرْجُمَان ، فَينْظُرَ أَيْمنَ مِنْهُ فَلا يَرى إِلاَّ مَا قَدَّم ، وينْظُر أشأمَ مِنْهُ فلا يَرَى إلاَّ ما قَدَّمَ ، وَينْظُر بَيْنَ يدَيْهِ فَلا يَرى إلاَّ النَّارَ تِلْقَاءَ وَجْهِهِ ، فاتَّقُوا النَّارَ ولوْ بِشِقِّ تَمْرةٍ، فَمَنْ لَمْ يَجدْ فَبِكَلِمَة طيِّبَةٍ


Kutoka kwa Abuu ‘Adiyy bin Haatim Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: [Jikingeni na moto japo kwa kutoa kipande cha tende.]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

Na katika Riwaya nyingine ya Bukhari na Muslim kutoka kwake (‘Adiyy) amesema: Mtume ﷺ: [Kila mmoja wenu atazungumza na Mola wake wala hakuna mtarjumani baina yake na Mola wake. Atatazama kuliani mwake, hataona ila alichotenda, atatazama kushotoni mwake, hataona ila alichotenda, atatazama mbele yake, hataona ila Moto mbele yake. Basi ogopeni Moto japo kwa kutoa kipande cha tende. Asiepata, azungumze neno jema.] 


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 120

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e1a37d99410967576101791549859
title_6ac8e1a37d9e520772256781791549859
title_6ac8e1a37da316143459121791549859

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e1a37e0047395998271791549859
title_6ac8e1a37e05316908348061791549859
title_6ac8e1a37e09f9975961111791549859 Add content here

HUDUMA MPYA

: 7 + 5 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com