Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عنْ أَبِي محمدٍ عبدِ اللَّهِ بنِ عمرو بن العاص رضي اللَّه عنهما قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « أَرْبعُونَ خَصْلةً أَعلاها منِيحةُ الْعَنْزِ، ما مِنْ عامَلٍ يعملَ بِخَصْلَةٍ مِنْها رجاءَ ثَوَابِهَا وتَصْدِيقَ موْعُودِهَا إِلاَّ أَدْخلَهُ اللَّهُ بِهَا الْجنَّةَ »   رواه البخارى
 الْمنِيحةُ » : أَنْ يُعْطِيَهُ إِيَّاهَا ليأْكُل لبنَهَا ثُمَّ يَردَّهَا إِليْهِ»


Kutoka kwa Abuu Muhammad, ‘Abdullaah bin ‘Amruw bin ‘Aasw Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Mtume  ﷺ : [Kuna mambo arubaini ya wema, la juu kabisa ni mtu akopeshe mbuzi wake. Hakuna yeyote atakayetenda mojawapo katika hayo kwa kutarajia thawabu zake na kusadikisha miadi yake, isipokuwa Mwenyezi Mungu Atamuingiza Peponi.]     [Imepokewa na Bukhari]    

Maniha: Ni mtu kupeana mbuzi wako ili apate kunywa maziwa yake kisha amrudishie mwenyewe.


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668261
TodayToday949
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 15

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866ce8bd53255464838491751568011
title_6866ce8bd541513564603311751568011
title_6866ce8bd54f419966364161751568011

NISHATI ZA OFISI

title_6866ce8bd6ac015719263111751568011
title_6866ce8bd6baf6511022621751568011
title_6866ce8bd6c8e3356643871751568011 Add content here

HUDUMA MPYA

: 11 + 9 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com