Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن جابر رضي الله عنْهُ قال : قال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « ما مِنْ مُسْلِمٍ يَغْرِسُ غَرْساً إلاَّ كانَ ما أُكِلَ مِنْهُ لهُ صدقةً ، وما سُرِقَ مِنْه لَه صدقَةً ، ولا يرْزؤه أَحَدٌ إلاَّ كَانَ له صدقةً»   رواه مسلم

وفي رواية له : « فَلا يغْرِس الْمُسْلِم غرساً ، فَيَأْكُلَ مِنْهُ إِنسانٌ ولا دابةٌ ولا طَيرٌ إلاَّ كانَ له صدقَةً إِلَى يَوْمِ الْقِيَامة
وفي رواية له : « لا يغْرِس مُسلِم غرْساً ، ولا يزْرعُ زرْعاً ، فيأْكُل مِنْه إِنْسانٌ وَلا دابَّةٌ ولا شَيْءٌ إلاَّ كَانَتْ لَه صدقةً ، ورويَاه جميعاً مِنْ رواية أَنَسٍ رضي اللَّه عنه
قولُهُ : « يرْزَؤُهُ » أي : يَنْقُصهُ


Kutoka kwa Jaabir Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume : [Muislamu yeyote atakayepandikiza mti basi chochote kitakacholiwa katika mti huo ni sadaka yake, na kitakachoibiwa ni sadaka yake, na chochote kitakachopunguza itakuwa ni sadaka yake.]   [Imepokewa na Muslim]

Na katika Riwaya nyingine inasema:[Muislamu yeyote hatopandikiza mbegu,ikaliwa na mwanadau au mnyama au ndege ispokuwa itakuwa ni sadaka yake siku ya Kiyama.]

Na katika Riwaya nyingine yake inasema: [Muislamu yeyote hatopandikiza mbegu,wala hatolima mmeya ikaliwa na mwanadau au mnyama au ndege ispokuwa itakuwa ni sadaka yake.]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

7668232
TodayToday7995
Highest 04-18-2026 : 16767
US
Guests 330

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_69f17f589750d1589870861777434456
title_69f17f58975783270183251777434456
title_69f17f58975dd6995103731777434456

NISHATI ZA OFISI

title_69f17f58983d912988745251777434456
title_69f17f589842314407074641777434456
title_69f17f589848011686802261777434456 Add content here

HUDUMA MPYA

: 8 + 4 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com