BUSTANI YA WATU WEMA
عنْ جابرٍ رضي اللَّه عنه قال : قال رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « كُلُّ معرُوفٍ صدقَةٌ » رواه البخاري ، ورواه مسلم مِن رواية حذَيفَةَ رضي اللَّه عنه
Kutoka kwa Jaabir Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Amesema Mtume ﷺ : [Kila kitendo chema ni sadaka] [Imepokewa na Bukhari na Muslim ameipokea kwa Riwaya kutoka kwa Hadhayfa radhi za Allah ziwe juu yake]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 943 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.