Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


   قال اللَّه تعالى :  {وَمَا تَفْعَلُوا مِنْ خَيْرٍ فَإِنَّ اللَّهَ بِهِ عَلِيمٌ}       البقرة:215

 

Amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na kheri yoyote mnayo ifanya Mwenyezi Mungu anaijua.]     [Sura Al-Baqara:215]

 

197:وقال تعالى :  {وَمَا تَفْعَلُوا مِنْ خَيْرٍ يَعْلَمْهُ اللَّهُ}   البقرة

 

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Na kheri yoyote mnayo ifanya Mwenyezi Mungu anaijua.]      [Sura Al-Baqara:197]

 

8:وقال تعالى :{فَمَن يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ خَيْرًا يَرَهُ}   المزمل

 

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona!.]       [Surat Al Zilzalah:7]

 

46:وقال تعالى :  {مَّنْ عَمِلَ صَالِحًا فَلِنَفْسِهِ}   فصلت

 

Na amesema Mwenyezi Mungu Mtukufu:

[Anaye tenda mema basi anajitendea mwenyewe nafsi yake.]      [Suuratul Fuss'ilat:46]

 

والآيات في الباب كثيرة

 

Na aya katika Mlango huu ziko nyingi.


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668178
TodayToday866
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 12

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866bc9dcf9087453055451751563421
title_6866bc9dcf9f414635767091751563421
title_6866bc9dcfad819072834681751563421

NISHATI ZA OFISI

title_6866bc9dd10af17128838691751563421
title_6866bc9dd119a16157273671751563421
title_6866bc9dd127a9152883041751563421 Add content here

HUDUMA MPYA

: 8 + 14 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com