Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن عائشةَ رضي اللَّه عنها قالت : ما صَلَّى رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم صلاةً بعْد أَنْ نزَلَتْ علَيْهِ { إذَا جَاءَ نصْرُ اللِّهِ والْفَتْحُ } إلاَّ يقول فيها : « سُبْحانك ربَّنَا وبِحمْدِكَ ، اللَّهُمَّ اغْفِرْ لى »   متفقٌ عليه
وفي رواية الصحيحين عنها : كان رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يُكْثِر أنْ يَقُول فِي ركُوعِه وسُجُودِهِ : « سُبْحانَكَ اللَّهُمَّ ربَّنَا وَبحمْدِكَ ، اللَّهمَّ اغْفِرْ لي »    يتأوَّل الْقُرْآن
{معنى : « يتأوَّل الْقُرُآنَ » أيْ : يعْمل مَا أُمِرَ بِهِ في الْقُــرآنِ في قولِهِ تعالى : {فَسبِّحْ بِحمْدِ ربِّكَ واستَغْفِرْهُ 
وفي رواية لمسلم : كان رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يُكْثِرُ أنْ يَقولَ قبْلَ أَنْ يَمُوتَ : «سُبْحانَكَ اللَّهُمَّ وبِحْمدِكَ ، أسْتَغْفِركَ وأتُوبُ إلَيْكَ » . قالت عائشةُ : قلت : يا رسولَ اللَّه ما هذِهِ الكلِمَاتُ الَّتي أرَاكَ أحْدثْتَها تَقولها ؟ قــال : « جُعِلَتْ لِي علامةٌ في أمَّتي إذا رَأيتُها قُلتُها {إذَا جَاءَ نَصْرُ اللِّهِ والْفَتْحُ } إلى آخر السورة
وفي رواية له : كان رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يُكْثِرُ مِنْ قَوْلِ : « سُبْحانَ اللَّهِ وبحَمْدِهِ . أسْتَغْفِرُ اللَّه وَأَتُوبُ إلَيْه » . قالت : قلت : يا رسولَ اللَّه ، أَرَاكَ تُكْثِرُ مِنْ قَوْل : سُبْحَانَ اللَّهِ وبحمْدِهِ ، أسْتغْفِر اللَّه وأتُوبُ إليْهِ ؟ فقال : « أخْبرني ربِّي أنِّي سَأرَى علاَمَةً فِي أُمَّتي فَإِذَا رأيْتُها أكْثَرْتُ مِن قَوْلِ : سُبْحانَ اللَّهِ وبحَمْدِهِ ، أسْتَغْفِرُ اللَّه وَأتُوبُ إلَيْهِ : فَقَدْ رَأَيْتُها: {إذَا جَاءَ نَصْرُ اللِّهِ والْفَتْحُ } فَتْحُ مَكَّةَ ، { ورأيْتَ النَّاس يدْخُلُونَ فِي دِينِ اللَّهِ أفْوَاجًا ، فَسبحْ بحمْدِ ربِّكَ واسْتَغفِرْهُ إنَّهُ كانَ توَّاباً


Kutoka kwa Bibi ‘Aisha Radhi za Allah ziwe juu yake  amesema: Mtume ﷺ hakuswali Swala yoyote baada ya kuteremka Sura hii [Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,] Isipokuwa alikuwa akisema: [Kutakasika ni Kwako Mola wetu, Ewe Mola nisamehe.]   [Imepokewa na Bukhari na Muslim]

Na katika Riwaya nyingine ya Swahih Al-Bukhari na Swahih Muslim; Mtume ﷺ alikuwa akikithirisha kusema katika Rukuu yake na sijda yake: [Kutakasika ni kwako Mola wetu, Ewe Mola nisamehe.]      Akiifuata Qur'ani akifanya kama alivyo amrishwa na Qur'ani katika neno lake Mwenyezi Mungu [Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha]

Na katika Riwaya nyingine ya Muslim imesema: Mtume alikuwa akikithirisha kusema kabla ya kufa kwake . [Kutakasika ni kwa Mwenyezi Mungu na himdi zote ni Zake, namuomba Msamaha na ninatubia kwakeAsema Aisha:

Nikamuuliza Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, nakuona unakithirisha kusema haya maneno  Akajibu:Nimeekewa alama nikiona kwa umma wangu basi niseme maneno hayo [Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,]  mpaka mwisho wa sura.

Na katika Riwaya nyingine ya Musalim  alikuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu akikithirisha kusema [Kutakasika ni kwa Mwenyezi Mungu na himdi zote ni Zake, namuomba Msamaha na ninatubia Kwake]  akasema: nikamuuliza nakuona wakitihrisha kusema  [Kutakasika ni kwa Mwenyezi Mungu na himdi zote ni Zake, namuomba Msamaha na ninatubia Kwake] akamjibu  [Mola wangu ameniambia  kuwa mimi nitaona alama katika Umma wangu, nitakapoiona nikithirishe kusema: [Kutakasika ni kwa Mwenyezi Mungu na himdi zote ni Zake, namuomba Msamaha na ninatubia Kwake] Nami nimeshaiona: [Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi,] nao ni kukombolewa Makka.  [Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundiZitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba .]   


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668261
TodayToday949
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 15

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866ce8bd53255464838491751568011
title_6866ce8bd541513564603311751568011
title_6866ce8bd54f419966364161751568011

NISHATI ZA OFISI

title_6866ce8bd6ac015719263111751568011
title_6866ce8bd6baf6511022621751568011
title_6866ce8bd6c8e3356643871751568011 Add content here

HUDUMA MPYA

: 15 + 6 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com