Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أبي فِراس رَبِيعةَ بنِ كَعْبٍ الأسْلَمِيِّ خادِم رسولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم، ومِنْ أَهْلِ الصُّفَّةِ رضي اللَّهُ عنه قال: كُنْتُ أبيتُ مع رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم، فآتِيهِ بِوَضوئِهِ، وحاجتِهِ فقال: «سلْني» فقُلْت: أسْألُكَ مُرافَقَتَكَ في الجنَّةِ. فقالَ: «أوَ غَيْرَ ذلِك؟» قُلْت: أسْألُكَ مُرافَقَتَكَ في الجنَّةِ. فقالَ: «أوَ غَيْرَ ذلِك ؟» قُلْت: هو ذَاك. قال: «فأَعِنِّي على نَفْسِكَ بِكَثْرةِ السجُودِ»    رواه مسلم


Kutoka kwaAbuu Firaas, Rabi’ bin Ka’b Al-Aslamiy mtumishi wa Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ na ni katika watu wa suffah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilikuwa nikilala kwa Mtume ﷺ nikimpelekea chombo cha kutawadhia na mahitajio yake mengineo. Akaniambia: [Niombe.] Nikamwambia: Nakuomba kuwa rafiki yako Peponi. Akaniuliza: [Una lingine?] Nikamjibu: Ni hilo tu. Akaniambia: [Basi Nisaidie juu nafsi yako kusujudu kwa wingi.]     [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355446
TodayToday562
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 129

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e109c5f0e1569373181791549705
title_6ac8e109c5f664349867271791549705
title_6ac8e109c5fb312713665511791549705

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e109c666b20177238071791549705
title_6ac8e109c66bb9606385571791549705
title_6ac8e109c67078149645331791549705 Add content here

HUDUMA MPYA

: 15 + 10 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com