BUSTANI YA WATU WEMA
عن أبي عبد اللَّه ويُقَالُ: أبُو عبْدِ الرَّحمنِ ثَوْبانَ موْلى رسولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: سمِعْتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقول: عليكَ بِكَثْرةِ السُّجُودِ، فإِنَّك لَنْ تَسْجُد للَّهِ سجْدةً إلاَّ رفَعكَ اللَّهُ بِهَا درجةً، وحطَّ عنْكَ بِهَا خَطِيئَةً» رواه مسلم
Kutoka kwa Abuu ‘Abdillah, pia huitwa Abuu ‘Abdir-Rahmaan, Thawbaan muachwa huru wa Mtume ﷺ amesema: Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: [Kithirisha kusujudu kwa wingi, kwani wewe hutosujudu sijdah (moja) isipokuwa Mwenyezi Mungu Atakupandisha daraja kwa sijdah hiyo, na Atakuondoshea dhambi kwa sijdah hiyo.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 927 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.