Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أبي هُريرةَ رضي اللَّهُ عنه قال: جاءَ رجلٌ إلى النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم، فقال: يا رسولَ اللَّهِ، أيُّ الصَّدقةِ أعْظمُ أجْراً ؟ قال: «أنْ تَصَدَّقَ وأنْت صحيحٌ شَحيحٌ تَخْشى الْفقرَ، وتأْمُلُ الْغنى، ولا تُمْهِلْ حتَّى إذا بلَغتِ الْحلُقُومَ. قُلت: لفُلانٍ كذا ولفلانٍ كَذَا، وقَدْ كان لفُلان »   متفقٌ عليه
« الْحلْقُوم » : مجرى النَّفسِ . و « الْمريءُ » : مجرى الطَّعامِ والشَّرابِ


Kutoka kwa Abuu Hurayra Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Mtu mmoja alikuja kwa Mtume ﷺ akamuuliza: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, ni sadaka ipi yenye ujira mkubwa zaidi? Akajibu: [Ni Utoe sadaka nawe ni mzima, unatamani mali na unakhofia ufakiri na unatarajia utajiri, wala usichelewe mpaka roho ikafika kwenye koo, ukaanza kusema: Fulani ana haki kadhaa na fulani ana haki kadhaa, na fulani alikuwa ana haki kadhaa.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 108

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e18edd99b9864139461791549838
title_6ac8e18edda0d83487531791549838
title_6ac8e18edda7313487495401791549838

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e18ede13d20810972721791549838
title_6ac8e18ede18a2327920371791549838
title_6ac8e18ede1d57406891101791549838 Add content here

HUDUMA MPYA

: 2 + 14 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com