Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


عن أنس رضي اللَّه عنه ، أَنَّ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم أَخذَ سيْفاً يوم أُحدٍ فقَالَ: « مَنْ يأْخُذُ منِّي هَذا ؟ فبسطُوا أَيدِيهُم ، كُلُّ إنْسانٍ منهمْ يقُول : أَنا أَنا . قَالَ:«فمنْ يأَخُذُهُ بحقِه ؟ فَأَحْجمِ الْقومُ ، فقال أَبُو دجانة رضي اللَّه عنه : أَنا آخُذه بحقِّهِ ، فأَخَذهُ ففَلق بِهِ هَام الْمُشْرِكينَ». رواه مسلم

اسم أبي دجانة : سماكُ بْنُ خرسة . قولُهُ : «أَحجم الْقوم» : أي توقَّفُوا  و «فَلق بِهِ» : أَي شَق «هام الْمشرِكين» : أَيْ رؤوسهُمْ


Kutoka kwaAnas  Radhi za Allah ziwe juu yake kuwa: Mtume ﷺ alichukua upanga siku ya Vita vya Uhud. Akauliza: [Ni nani atakayeuchukua upanga huu kutoka kwangu?] Kila mmoja wao akanyoosha mkono akisema: Mimi, mimi. Akawauliza: [Ni nani atakayeuchukua kwa haki yake?] Watu wakasita. Abuu Dujaanah Radhi za Allah ziwe juu yake akasema: Mimi nitauchukua kwa haki yake. Akauchukua, akawa anakata vichwa vya washirikina (katika Jihaad).    [Imepokewa na Muslim]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355448
TodayToday564
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 107

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e195663dd18185834271791549845
title_6ac8e1956642d16505764241791549845
title_6ac8e195664797802369371791549845

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e19566a7e14147565401791549845
title_6ac8e19566acc16808849771791549845
title_6ac8e19566b199633399561791549845 Add content here

HUDUMA MPYA

: 10 + 7 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com