Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


عنْ أبي أُمَامَةَ صُدَيَّ بْنِ عَجْلانَ الْباهِلِيِّ رضي اللَّهُ عنه قال: سَمِعْتُ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَخْطُبُ في حَجَّةِ الْودَاع فَقَالَ : « اتَّقُوا اللَّه ، وصَلُّوا خَمْسكُمْ ، وصُومُوا شَهْرَكمْ ، وأَدُّوا زكَاةَ أَمْوَالِكُمْ ، وَأَطِيعُوا أُمَرَاءَكُمْ ، تَدْخُلُوا جَنَّةَ رَبِّكُمْ »   رواه التِّرْمذيُّ ، في آخر كتابِ الصلاةِ وقال : حديثٌ حسنٌ صحيح


Kutoka kwa Abuu Umaamah, Swudayy bin ‘Ajlaan Al-Baahiliyy Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimsikia Mtume ﷺ akikhutubia katika Hajjatil-Widaa’i akasema: [Mcheni Mwenyezi Mungu, na muswali Swala zenu tano, na muufunge mwezi wenu, na toeni Zaka za mali yenu, na Muwatii viongozi wenu, mtaingia Pepo ya Mola wenu.]    [Imepokewa na At-Tirmidhiy, na amesema: Hadiyth hii ni Hasan Swahiyh]


 شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355446
TodayToday562
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 119

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e1201b64c3666253731791549728
title_6ac8e1201b69d16537269761791549728
title_6ac8e1201b6e97048054051791549728

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e1201bcd81747342431791549728
title_6ac8e1201bd2412563589061791549728
title_6ac8e1201bd708969770211791549728 Add content here

HUDUMA MPYA

: 15 + 7 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com