BUSTANI YA WATU WEMA
عَنْ أبي طَريفٍ عدِيِّ بْنِ حاتمٍ الطائِيِّ رضي اللَّه عنه قال : سمعت رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقُولُ : « مَنْ حَلَفَ عَلَى يمِين ثُمَّ رَأَى أتقَى للَّهِ مِنْها فَلْيَأْتِ التَّقْوَى » رواه مسلم
Kutoka kwaAbuu Twariyf ‘Adiyyi bin Haatim At-Twaaiyy Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimsikia Mtume ﷺ akisema: [Atakayeapa yamini kisha akaona linalomridhisha zaidi Mwenyezi Mungu kulikoni aliloliapia, basi afanye linalokuwa ni ucha Mungu.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 886 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.