Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعنْ مُعاذ بْنِ أَنَسٍ رضي اللَّه عنه أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ : « مَنْ كظَمَ غيظاً ، وهُو قَادِرٌ عَلَى أَنْ يُنْفِذَهُ ، دَعَاهُ اللَّهُ سُبْحانَهُ وتَعالَى عَلَى رُؤُوسِ الْخلائقِ يَوْمَ الْقِيامَةِ حَتَّى يُخَيِّرَهُ مِنَ الْحُورِ الْعِينِ مَا شَاءَ »     رواه أَبُو داوُدَ ، والتِّرْمِذيُّ وقال : حديثٌ حسنٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Mu’aadh bin Anas Radhi za Allah ziwe juu yake amesema kuwa: Mtume ﷺ amesema: [Atakaezuia hasira na akawa anaweza kuitekeleza, Mwenyezi Mungu Atamuita siku ya Qiyama mbele ya halaiki ili Amchagulishe Huwrul ‘ayn anayemtaka.]  [Imepokewa na Abuu Dawud na At-Tirmidhiy, na amesema hadiyth hii ni Hasan]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668238
TodayToday926
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 23

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866c764d455310267011401751566180
title_6866c764d46446349341191751566180
title_6866c764d472d8948717831751566180

NISHATI ZA OFISI

title_6866c764d5d217569551671751566180
title_6866c764d5e0612027847291751566180
title_6866c764d5ee49933630701751566180 Add content here

HUDUMA MPYA

: 3 + 9 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com