Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


RIYADHU  


وَعَنْ أبي سَعيدٍ بْن مَالِك بْن سِنَانٍ الخُدْرِيِّ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا أَنَّ نَاساً مِنَ الأنصَارِ سَأَلُوا رَسُولَ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فأَعْطاهُم ، ثُمَّ سَأَلُوهُ فَأَعْطَاهُمْ ، حَتَّى نَفِد مَا عِنْدَهُ ، فَقَالَ لَهُمْ حِينَ أَنَفَقَ كُلَّ شَيْءٍ بِيَدِهِ : « مَا يَكُنْ مِنْ خَيْرٍ فَلَنْ أدَّخِرَهُ عَنْكُمْ ، وَمَنْ يسْتعْفِفْ يُعِفَّهُ الله وَمَنْ يَسْتَغْنِ يُغْنِهِ اللَّهُ ، وَمَنْ يَتَصَبَّرْ يُصَبِّرْهُ اللَّهُ . وَمَا أُعْطِىَ أَحَدٌ عَطَاءً خَيْراً وَأَوْسَعَ مِنَ الصَّبْرِ »    مُتَّفَقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abuu Saiyd, Sa’ad bin Maalik bin Sinaan Al-Khudriy Radhi za Allah ziwafikie wao wawili amesema: "Watu fulani miongoni mwa Answaar walimuomba Mtume , naye akawapa, kisha wakamuomba tena, naye akawapa mpaka akamaliza chote alichokuwa nacho. (kisha) Akawaambia baada ya kuwa ameshatoa kila kitu: [Kheri yoyote niliyonayo siwezi kuwanyima, mwenye kujizuia kuomba Mwenyezi Munga Atamlipa kwa kutoomba, mwenye kutosheka basi na Mwenyezi Mungu Atamtosheleza zaidi, na Atakae jisubirisha basi na Mwenyezi Mungu Atamzidishia subira. Hakuna yoyote yule aliyepewa zawadi bora na iliyokunjufu zaidi kulikoni subira.]        [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6668222
TodayToday910
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 26

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6866c3ba3e4368108646021751565242
title_6866c3ba3e5191005288951751565242
title_6866c3ba3e5fe17506873571751565242

NISHATI ZA OFISI

title_6866c3ba3fb8c5599417081751565242
title_6866c3ba3fc674604115651751565242
title_6866c3ba3fd2d17614835831751565242 Add content here

HUDUMA MPYA

: 1 + 1 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com