Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وَعَنْ أبي نُجَيْد بِضَم النُّونِ وَفَتْح الْجيِمِ  عِمْرانَ بْنِ الحُصيْنِ الخُزاعيِّ رَضِي اللَّهُ عَنْهُمَا أَنَّ امْرأَةً مِنْ جُهينةَ أَتَت رَسُولَ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم وَهِيَ حُبْلَى مِنَ الزِّنَا ، فقَالَتْ : يَا رسول الله أَصَبْتُ حَدّاً فأَقِمْهُ عَلَيَّ ، فَدَعَا نَبِيُّ الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم وَليَّهَا فَقَالَ : أَحْسِنْ إِليْهَا ، فَإِذَا وَضَعَتْ فَأْتِنِي فَفَعَلَ فَأَمَرَ بِهَا نَبِيُّ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، فَشُدَّتْ عَلَيْهَا ثِيَابُها ، ثُمَّ أَمَرَ بِهَا فرُجِمتْ ، ثُمَّ صلَّى عَلَيْهَا . فَقَالَ لَهُ عُمَرُ : تُصَلِّي عَلَيْهَا يَا رَسُولَ اللَّهِ وَقَدْ زَنَتْ ، قَالَ : لَقَدْ تَابَتْ تَوْبةً لَوْ قُسِمَتْ بَيْن سبْعِينَ مِنْ أَهْلِ المدِينَةِ لوسعتهُمْ وَهَلْ وَجَدْتَ أَفْضَلَ مِنْ أَنْ جَادَتْ بِنفْسهَا للَّهِ

عَزَّ وجَل؟،»   رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله



Kutoka kwa Abuu Nujayd, ‘Imraan bin Huswayn Al-Khuza'iy Radhi za Allah ziwe juu yake amehadithia kwamba: Mwanamke kutoka kabila la Juhaynah alimuendea Mtume wa Mwenyezi Mungu naye ana mimba ya zinaa, akamwambia: “Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu , nimetenda dhambi inayopaswa haddi (adhabu), kwa hiyo nipitishie.” Mtume wa Mwenyezi Mungu  akamwita msimamizi wake, akamwambia: [Mfanyie ihsaan atakapojifungua basi mlete.] Yule msimamizi akafanya kama alivyoamrishwa, halafu akaja naye. Mtume wa Mwenyezi Mungu  akaamuru, akafungwe kwa nguo zake, halafu akaamuru apigwe mawe, kisha akamswalia. ‘Umar akamwambia: “Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, unamswalia na hali alikuwa amezini?” (Mtume ) Akamwambia: [Kwa yakini ametubia Tawba ambayo lau ingeligawanya kwa watu sabini miongoni mwa watu wa Madina, ingewatosha. Je, ushawahi kuona lililo bora kuliko yeye kujileta mwenyewe kwa Mwenyezi Mungu ﷻ?]      [Imepokewa na Muslim]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6572808
TodayToday875
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 27

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68286382749378692651121747477378
title_6828638274a4220362196191747477378
title_6828638274b426343787961747477378

NISHATI ZA OFISI

title_6828638274dff6971915361747477378
title_6828638274f014896166871747477378
title_6828638274ffe17821415011747477378 Add content here

HUDUMA MPYA

: 15 + 9 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com