BUSTANI YA WATU WEMA
وعن الأَغَرِّ بْن يَسار المُزنِيِّ رضي الله عنه قال : قال رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « يا أَيُّها النَّاس تُوبُوا إِلى اللَّهِ واسْتغْفرُوهُ فإِني أَتوبُ في اليَوْمِ مائة مَرَّة » رواه مسلم
Na kutoka kwa Al-Agharri bin Yasaar Al-Muzaniyy Radhi za Allah ziwe juu yake Asema amesema: Amesema Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ : [Enyi watu, tubieni kwa Mwenyezi Mungu na mumuombe msamaha, Hakika mimi natubia Kwake mara mia kwa siku.] [Imepokewa na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 899 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.