BUSTANI YA WATU WEMA
وعَنْ أبي هُرَيْرَةَ رضي الله عنه قال : سمِعتُ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُولُ : « واللَّه إِنِّي لأَسْتَغْفرُ الله ، وَأَتُوبُ إِليْه ، في اليَوْمِ ، أَكثر مِنْ سَبْعِين مرَّةً » رواه البخاري
Kutoka kwa Abuu Hurayrah Radhi za Allah ziwe juu yake asema: Nilimsikia Mtume wa Mwenyezi Mungu ﷺ akisema: [Naapa kwa jina la Mwenyezi Mungu hakika yangu mimi namuomba Mwenyezi Mungu msamaha na natubia Kwake zaidi ya mara sabini kwa siku.] [Imepokewa na Bukhari]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 885 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.