Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعَنْ أبي مُوسَى عبْدِ اللَّهِ بْنِ قَيْسٍ الأَشعرِيِّ رضِي الله عنه قالَ: سُئِلَ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم عَنِ الرَّجُلِ يُقاتِلُ شَجَاعَةً ، ويُقاتِلُ حَمِيَّةً ويقاتِلُ رِياءً ، أَيُّ ذلِك في سَبِيلِ اللَّهِ؟ فَقَالَ رسول الله صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَنْ قاتَلَ لِتَكُون كلِمةُ اللَّهِ هِي الْعُلْيَا فهُوَ في سَبِيلِ اللَّهِ »     مُتَّفَقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abu Musa Al Ash'ary Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake Amesema: Aliulizwa Mtume ﷺ kuhusu mtu anaepigana kwa ajili ya kuambiwa ni shujaa,na anaepigana kwa ya kabila,na anaepigana kwa ajili ya ria (kujionyesha) ni yupi katika hao ambae yuko katika njia ya Mwenyezi Mungu ? Akasema Mtume ﷺ:   [Anaepigana kwa ajili ya neno la Mwenyezi Mungu liwe juu, basi huyo ndie yuko katika njia ya Mwenyezi Mungu.]      [Imepokelewa na Bukhari na Muslim]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355446
TodayToday562
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 129

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e10cacf8f4384944341791549708
title_6ac8e10cacfe14688036111791549708
title_6ac8e10cad02e3269851291791549708

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e10cad6e46481965841791549708
title_6ac8e10cad73210479525831791549708
title_6ac8e10cad77f17108282221791549708 Add content here

HUDUMA MPYA

: 8 + 11 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com