Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعن أبي بَكْرَة نُفيْعِ بْنِ الْحارِثِ الثَّقفِي رَضِي الله عنه أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قال: «إِذَا الْتقَى الْمُسْلِمَانِ بسيْفيْهِمَا فالْقاتِلُ والمقْتُولُ في النَّارِ» قُلْتُ : يَا رَسُول اللَّهِ ، هَذَا الْقَاتِلُ فمَا بَالُ الْمقْتُولِ ؟ قَال: «إِنَّهُ كَانَ حَرِيصاً عَلَى قَتْلِ صَاحِبِهِ»       متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abu Bakra Nufayi Binul Haarith Athaqafiy Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake kwamba Mtume ﷺ  amesema:  [Waislau wawili wakipigana kwa panga zao, basi Muuwaji na aliyeuliwa wataingia Motoni.] Nikauliza Ewe Mtume wa Mungu huyu aliyeuwa (ni sawa kuingia motoni) je Aliyeuliwa? Akasema [Yeye alikuwa na hamu ya kumuuwa mwenzie]    [Imepokelewa na Bukhari na Muslim]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355446
TodayToday562
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 130

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e1100149716875467411791549712
title_6ac8e110015065041322801791549712
title_6ac8e1100156c11129245821791549712

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e11001fa617349354321791549712
title_6ac8e11001ff413381760591791549712
title_6ac8e1100203f20795681271791549712 Add content here

HUDUMA MPYA

: 6 + 9 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com