Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وَعَنْ أبي يَزِيدَ مَعْنِ بْن يَزِيدَ بْنِ الأَخْنسِ رضي الله عَنْهمْ، وَهُوَ وَأَبُوهُ وَجَدّهُ صَحَابِيُّونَ، قَال: كَانَ أبي يَزِيدُ أَخْرَجَ دَنَانِيرَ يَتصَدَّقُ بِهَا فَوَضَعَهَا عِنْدَ رَجُلٍ في الْمَسْجِدِ فَجِئْتُ فَأَخَذْتُهَا فَأَتيْتُهُ بِهَا . فَقَالَ : وَاللَّهِ مَا إِيَّاكَ أَرَدْتُ ، فَخَاصمْتُهُ إِلَى رسول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَقَالَ: «لَكَ مَا نويْتَ يَا يَزِيدُ ، وَلَكَ مَا أَخذْتَ يَا مَعْنُ »    رواه البخاريُّ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Abi Yazid Ma'an bin Yazid Al-Akhnas  Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao amesema: Baba yangu Yazid alikuwa amezitoa Dinari akizitolea Sadaka akaziweka kwa mtu Msikitini, nikaja nikazichukua ni kaja nazi (nyumbani). akasema (babangu kuniambi a) " Wallahi sikuwa na kukusudia wewe" nikashtakiana naye kwa Mtume Akasema (Mtume)  [Utapata ujira wa ulilonuilia ewe Yazid na nichako ulichokitukuwa ewe Ma'ani]   [Imepokelewa na Bukhari]


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA DR.ISLAM



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6572808
TodayToday875
Highest 01-07-2025 : 4073
US
Guests 27

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68286382749378692651121747477378
title_6828638274a4220362196191747477378
title_6828638274b426343787961747477378

NISHATI ZA OFISI

title_6828638274dff6971915361747477378
title_6828638274f014896166871747477378
title_6828638274ffe17821415011747477378 Add content here

HUDUMA MPYA

: 7 + 3 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com