Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


رياض الصالحين


وعن أبي عبد الله جابر بن عبد الله الأنصاري - رضي الله عنهما - قال: كنا مع النبي صلي الله عليه وسلم في غزاة فقال: [إن بالمدينة لرجالاً ما سرتم مسيراً ولا قطعتم وادياً إلا كانوا معكم؛ حبسهم المرض] وفي رواية:  [إلا شركوكم في الأجر]                  رواه مسلم

 

ورواهُ البُخَارِيُّ  عَنْ أَنَسٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ قَالَ :رَجَعْنَا مِنْ غَزْوَةِ تَبُوكَ مَعَ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فَقَالَ: "إِنَّ أَقْوَامَاً خلْفَنَا بالمدِينةِ مَا سَلَكْنَا دشِعْباً وَلاَ وَادِياً إِلاَّ وَهُمْ مَعَنَا ، حَبَسَهُمْ الْعُذْرُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



Kutoka kwa Jabir bin Abdillah Al Answary r adhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yao amesema: Tulikuwa pamoja na Mtume ﷺ katika vita fulani akasema: [Hakika Madina kuna watu ambao nyinyi hamukwenda mwendo wowote, wala hamukupita jangwa lolote isipokuwa wao wako na nyinyi, wamezuiliwa na ugonjwa" na katika Riwaya ngine Amesema [Isipokuwa wameshirikiana nanyi katika Ujira]  [Imepokelewa na Muslim]

Na amepokea Imamu Al Bukhari Kutoka kwa Anas radhi za Allah ziwe juu yake asema:

Tulirudi kutoka katika vita vya Tabuuk pamoja na Mtume ﷺ akasema: [Hakika kuna watu nyuma yetu Madina hatukufuata njia ya mawe wala jangwa ila wao wako pamoja nasisi ,wamezuiliwa na udhuru].


SIKILIZA SHEREHE YA HADITHI HII NA DR.ISLAM



 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355446
TodayToday562
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 129

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e10802aa813730297021791549704
title_6ac8e10802af718281158451791549704
title_6ac8e10802b451961357601791549704

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e108031219617786051791549704
title_6ac8e1080316e17349827431791549704
title_6ac8e108031b98222297621791549704 Add content here

HUDUMA MPYA

: 11 + 11 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com