Menu

الحديث الرابع والثلاثون


Annawawiy1


"من رأى منكم منكرا فليغيره بيده"

عن أبي سعيدٍ الْخُدْرِيِّ رضي الله عنه قال: سمعتُ رسولَ الله صلى الله عليه وسلم يقول

       مَنْ رَأَى مِنْكُمْ مُنْكَراً فَلْيُغَيِّرْهُ بِيَدِهِ، فَإنْ لمَْ يَسْتَطِعْ فَبلِسانِهِ، فَإنْ لَمْ يَسْتَطِعْ فَبقَلْبِهِ، وَذَلِكَ أضْعَف اْلإِيمَانِ

رَوَاهُ مُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 34


YEYOTE ATAKAYEONA KITENDO KIOVU AKIONDOE

KWA MKONO WAKE


Kutoka kwa Abu Sa'iid Al-Khudhriy Radhi za Allah ziwe juu yake  ambaye amesema : Nilimsikia Mtume ﷺ akisema:

[Yeyote yule atakayeona kitendo kiovu akiondoe (abadilishe) kwa mkono wake, ikiwa hawezi basi kwa ulimi wake (alikemee au kukataza), na ikiwa hawezi basi kwa moyo wake (achukie) na huo ni udhaifu wa Imani.]
[Imepokelewa na Muslim]


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6511980
TodayToday838
Highest 12-07-2024 : 5072
US
Guests 37

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6786694192d0d17878615691736862017
title_6786694192df713977540541736862017
title_6786694192ed713548935341736862017

NISHATI ZA OFISI

title_67866941944568164310151736862017
title_67866941a688214169534461736862017
title_67866941a69946913158201736862017 Add content here

HUDUMA MPYA

: 11 + 6 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com