Menu

الحديث التاسع والعشرون


Annawawiy1 


"تعبد الله لا تشرك به شيئا"
عن معاذِ بن جبلٍ رضي الله عنه  قال: قلت: يا رسول الله، أخْبِرني بِعَمَلٍ يُدْخِلُني الجنَةَ ويُبَاعِدُني عَنِ النارِ. قال: [لَقَدْ سألْتَ عَنْ عَظيمٍ، وإنَهُ لَيَسيرٌ عَلى من يَسَّرَهُ اللهُ تعالى عَلَيْهِ : تَعْبُدُ اللهَ لا تُشْرِكُ بِهِ شَيئاً، وتُقيمُ الصَّلاةَ ،وتُؤتي الزكاةَ، وتصومُ رمضانَ، وتَحُجُّ البيتَ] .ثم قال: [ ألا أَدُلُّكَ على أبْوَابِ الخيرِ؟: الصَّومُ جُنَّةٌ، والصَّدقةُ تُطْفِىءُ الخَطِيئةَ كما يُطْفىءُ الماءُ النارَ، وصَلاةَ الرَّجُلِ في جَوْفِ الَّليْلِ، ثم تلا: {تَتَجَافَى جُنُوبُهُمْ عَنْ الْمَضَاجِعِ} - حتى بلغ - يَعْمَلُونَ]

[ثم قال: [ ألا أُخْبِرُكَ بِرَأسِ الأمْرِ وَعَمودِهِ وَذِرْوَةِ سَنَامِهِ؟ ]  قلتُ: بَلىَ يا رسول الله. قال: [ رَأْسُ الأمْرِ الإسلامُ، وعَمُودُهُ الصَّلاةُ، وَذِرْوَةُ سَنَامِهِ الجِهادُ 

ثم قال: [ ألا أخْبِرُكَ بِمِلاكَ ذَلِكَ كلِّهِ ؟]  فَقُلْتُ بَلَى يا رَسول الله، فأخَذَ بِلِسانِهِ وقال: [كُفَّ عَلَيْكَ هذا] . قلت : يا نبيَّ الله، وإنَّا لمؤاخَذُونَ بِما نَتَكَلَّمُ بِه ؟ فقال:  [ثَكِلَتْكَ أمُّكَ يَا مُعَاذُ, وَهَلْ يَكُبُّ الناسَ في النارِ على وُجُوهِهِمْ ] أو قال: [على مناخِرِهِم - إلاَّ حَصَائدُ ألسِنَتهم

رَوَاهُ التِّرْمِذِيُّ وَقَالَ: حَدِيثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



 HADITHI YA  29


MUABUDU MWENYEZI MUNGU NA USIMSHIRIKISHE NA CHOCHOTE


Kutoka kwa Mu'aadh Ibn Jabal Radhi za Allah ziwe juu yake amesema:

Nilisema: Ewe Mtume ﷺ niambie kitendo ambacho kitanipeleka peponi na kitaniokoa na moto. Akasema : [Umeniuliza jambo kubwa lakini ni rahisi kwa yule ambae Mola anaemsahilishia. Muabudu Allaah wala usimshirikishe na chochote, Swali, toa Zaka, funga Ramadhani, nenda kuhiji (Makka).] Kisha akasema:  [Je? Nikuonyeshe milango ya kheri ? Saumu ni ngao, sadaka inazima dhambi kama vile maji yanavyozima moto, na kuswali katikati ya usiku: Kisha akasoma "Mbavu zao zinaachana na vitanda " Mpaka akafika (Mwisho wa Aya)  "waliyo kuwa wakiyatenda"]

Tena akasema: [Je, nikwambie kilele cha hilo jambo; nguzo yake na sehemu yake ya juu kabisa? ] Nikasema : Ndio ewe Mjumbe wa Mwenyeezi Mungu. Akasema: [kilele chake ni Uislamu, nguzo yake ni Swala na sehemu yake ya juu kabisa ni Jihaad.] Kisha akasema : [Je, nikwambie muhimili wa yote haya ? ] Nikasema: Ndio ewe Mjumbe wa Mwenyeezi Mungu. Akaukamata ulimi wake na akasema; [Uzuie huu.] ( akashika Ulimi wake) Nilisema: Ewe Mjumbe wa Mwenyeezi Mungu; yale tunayoyasema tutahukumiwa kwayo? Akasema: [mama yako akuhurumie ewe Mu'aadh! Kuna kitu zaidi kinachowaangusha watu kifudifudi motoni kama si mavuno ya ndimi zao?]
[Imepokelewa na At-Tirmidhi na ni hadithi Hasan.]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6511912
TodayToday770
Highest 12-07-2024 : 5072
US
Guests 36

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_67866209189db10119957901736860169
title_6786620918ac18771871801736860169
title_6786620918bac14039789301736860169

NISHATI ZA OFISI

title_678662091a18112200522211736860169
title_678662091a25a15556222381736860169
title_678662091a3361490968971736860169 Add content here

HUDUMA MPYA

: 2 + 15 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com