Menu

الحديث الثلاثون


Annawawiy1


 "إن الله تعالى فرض فرائض فلا تضيعوها"

عَنْ أَبيِ ثَعْلَبَةَ الخُشَنِيِّ جُرْثُومِ بْن نَاشرٍ رضي الله عنه عَنْ رَسُولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم قَالَ
[ إنّ اللهَ تَعَالى فَرَضَ فَرَائِضَ فَلاَ تُضَيّعوهاَ وَحَدَّ حُدُودَاً فَلاتَعْتَدُوهَا وَحَرّمَ أَشْياءَ فَلاَتَنْتَهِكُوهَا وَسَكَتَ عَنْ أَشْيَاءَ رَحْمَةً لَكُمْ غَيْرَ نِسْيانٍ فَلا تَبْحَثُوا عَنْهَا]
حَدِيثٌ حَسَنٌ، رَوَاهُ الدَّارَقُطْنِيّ وَغَيْرُهُ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ مُحَمّد بن صَالِح العُثَيْمِين رحمه الله تعالى



HADITHI YA 30


KUSIMAMA KATIKA MIPAKA YA MWENYEZI MUNGU


Kutoka kwa Abu Tha'alaba Al-Khushani Jurthuum Ibn Naashib Radhi za Allah ziwe juu yake naye kapokea kwa Mtume ﷺ

[Mwenyezi Mungu amefaridhisha mambo ya dini kwa hivyo usiyapuuze. Vile vile kaweka mipaka usiikiuke. Amekataza baadhi ya mambo kwa hivyo usifanye. Yale aliyoyanyamazia ni kwa ajili ya huruma zake kwako wala hakusahau kwa hivyo usiyadadisi.]
[Imepokelewa na Daaraqutni na wengineo . Hadithi Hasan]


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

6511950
TodayToday808
Highest 12-07-2024 : 5072
US
Guests 35

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_678665a8e4a655274670031736861096
title_678665a8e4b4a14739096301736861096
title_678665a8e4c2b14129282981736861096

NISHATI ZA OFISI

title_678665a8f01cd19828860501736861096
title_678665a8f02b12293374811736861096
title_678665a8f03917372275011736861096 Add content here

HUDUMA MPYA

: 4 + 10 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com