KINGA YA MUISLAMU
Alikuwa Mtume ﷺ ikimjia habari ya kufurahisha akisema:
[ الحمد لله الذي بنعمته تتم الصالحات ]
[Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu ambaye kwa neema yake yanatimia mambo mema]
Na ikimjia habari ya kusikitisha husema:
[ الحمد لله على كل حال ]
[Sifa njema ni za Mwenyezi Mungu kwa hali zote] [Imepokewa na Ibnu Sunniy, na Al-Haakim na kuisahihisha]
SIKILIZA DUA HII
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.