Menu

KINGA YA MUISLAMU


 MSAFIRI1


Imepokelewa kutoka kwa Ibn Omar radhi za Allah ziwe juu yake  kwamba Mtume alikuwa akirudi vitani au kutoka Hijjah katika kila akipanda mlima akisema:

 

[ اللهُ أَكْـبَر، اللهُ أَكْـبَر، اللهُ أَكْـبَر ]

 

[Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, Mwenyezi Mungu ni Mkubwa]

Kisha akisema:

 

لا إله إلا الله وحده لا شريك لهُ ،لهُ الملك ، ولهُ الحمدُ وهو على كل شيءٍ قدير ، آيبون ،تائبون ، عابدون ، لربنا حامدون ،صدق الله وعده،ونصر عبده،وهزم الأحزاب وحده

[Hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ila Mwenyezi Mungu, hali ya kuwa peke yake, wala hana mshirika.  Ufalme ni wake, na sifa njema ni zake, na Yeye juu ya kila kitu ni mueza, tunarudi hali ya kuwa tunatubia, tunaabudu, na Mola wetu tunamsifu, amesadikisha Mwenyezi Mungu  ahadi yake, na amemnusuru mja wake, na amevishinda vikosi peke yake.]       [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]


DUA YA MSAFIRI AKIRUDI KUTOKA SAFARINI


 


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6786218
TodayToday1219
Highest 07-17-2025 : 4917
US
Guests 32

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68aa28076385b13669713751755981831
title_68aa2807639527557662701755981831
title_68aa280763a3612945865451755981831

NISHATI ZA OFISI

title_68aa280764fab18948370921755981831
title_68aa28076507219131617171755981831
title_68aa2807651579841775861755981831 Add content here

HUDUMA MPYA

: 1 + 12 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com