KINGA YA MUISLAMU
Imepokelewa kutoka kwa Abdillahi bin Sarjis radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimjia Mtume ﷺ nikala katika chakula chake kisha nikamwambia :
[ غَفَـرَ اللهُ لَكَ يا رَسـولَ الله ]
[Mwenyezi Mungu Akusamehe ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu]
Akaniambia
[ وَلَكَ ]
[Nawe akusamehe] [Imepokewa na Ahmad na Al-Nnasaai.]
KUMUOMBEA DUA ANAEKUOMBEA MSAMAHA KWA MWENYEZI MUNGU
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.