UTAJO UNAOSOMWA KATIKA KIKAO
Imepokelewa kutoka kwa Ibn Omar amesema : "Alikuwa akihisabiwa Mtume ﷺ kusoma kwake dua hii katika kikao kimoja ikifika idadi ya mara mia kabla hajasimama"
[ رَبِّ اغْفِـرْ لي، وَتُبْ عَلَـيَّ، إِنَّكَ أَنْـتَ التَّـوّابُ الغَـفُورُ ]
[Mwenyezi Mungu nisamehe na nikubalie toba yangu, hakika Wewe ni mwingi wa kukubali toba, mwingi wa kusamehe] [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy.]
UTAJO UNAOSOMWA KATIKA KIKAO
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.