KINGA YA MUISLAMU
[ بارك الله لك ، وبارك عليك ، وجمع بينكما في خير ]
أخرجه أصحاب السنن إلا النسائي
[Mwenyezi Mungu akubariki na abariki juu yako, na awajumuishe katika kheri.] [Imepokewa na wapokezi wa hadithi ila Al-Nnasaai.]
SIKILIZA DUA YA KUMUOMBEA ALIYEOWA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.