DUA YA KUONA MWEZI UNAPO ANDAMA
[الله أكبر ، اللهم أهلِه علينا بالأمن والإيمان ، والسلامة والإسلام ،والتوفيق لما تحب ربنا وترضى ، ربنا وربك الله]
الترمذي 5/504 والدارمي
[Mwenyezi Mungu ni Mkubwa, Ewe Mwenyezi Mungu uanzishe kwetu kwa amani na imani, na usalama na Uislamu, na taufiq ya kile unachokipenda Mola wetu na kukiridhia, Mola wetu na Mola wako ni Mwenyezi Mungu.] [Imepokewa na Al-Ttirmidhiy na Al-Daarimiy.]
DUA YA KUONA MWEZI UNAPO ANDAMA
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.