KINGA YA MUISLAMU
Alikuwa Abdallaah Bin Zubair radhi za Allah ziwe juu yake akisikia radi basi huacha mazungumzo badala yake husema:
[ سبحان الذي يُسبح الرعد بحمده والملائكة من خيفته ]
[Ametakasika yule ambae radi zinamtakasa kwa sifa zake na malaika pia kwa kumuogopa] [Imepokewa na Imam Malik katika Al-Muwatwa'a]
SIKILIZA DUA YA RADI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.