Menu

KINGA YA MUISLAMU


 mtoto maiti


 

[اللهم أعذه من عذاب القبر]

أخرجه مالك في الموطأ 1/288 وابن أبي شيبه في المصنف 3/ 217 والبيهقي 4/9

 

[Ewe Mwenyezi Mungu  mlinde na adhabu ya kaburi]        [Imepokewa na Imam Maalik na Ibnu Abiy Shayba na Al-Bayhaqiy.]

 

اللهم اجعله فرطاً وذخراً لوالديه ،وشفيعاً مجاباً .اللهم ثقل به موازينها وأعظم به أجورهما ، وألحقهُ بصالح المؤمنين ، واجعلهُ في كفالة إبراهيم ، وقه برحمتك عذاب الجحيم ، وأبدله داراً خيراً من داره ، وأهلاً خيراً من أهله ، اللهم اغفر لاسلافنا ، وأفراطنا ، ومن سبقنا بالإيمان

[Ewe Mwenyezi Mungu mjaaliye kuwa nikitangulizi na akiba kwa wazazi wake na nikiombezi chenye  kukubaliwa dua yake.  Ewe Mwenyezi Mungu kwa ajili yake zifanye nzito mizani za wazazi wake na yafanye mengi malipo yao, na mkutanishe na wema wa waumini na mjaaliye awekatika dhamana ya Ibrahim na umuepushe kwa rehema yako na adhabu ya moto, na mbadlishie nyumba bora kuliko nyumba yake, na jamaa bora kulko jamaa zake.  Ewe Mwenyezi Mungu, wasamehe waliotangulia na waliopita na waliotutangulia katika Uislamu.]

Alikuwa Al-Hassan Radhi za Allah ziwe juu yake  anamsomea mtoto mdogo Suratul Fatiha kisha anasema:

 

اللهم اجعله لنا فرطاً ،وسلفاً وأجراً

 

[Ewe Mwenyezi Mungu mfanye kwetu sisi ni kitangulizi  cha malipo na dhamana na  malipo.]    [Imepokewa na Al-Baghawiy na Abdulrazaaq.]


DUA YA MAITI YA MTOTO MCHANGA WAKATI WA KUMSWALIA


   


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

8355546
TodayToday662
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 30

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8f87ec388819268476161791555710
title_6ac8f87ec38d612787592381791555710
title_6ac8f87ec39211777618561791555710

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8f87ec3e9218762264471791555710
title_6ac8f87ec3ede10430937021791555710
title_6ac8f87ec3f2815530534661791555710 Add content here

HUDUMA MPYA

: 15 + 5 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com