KINGA YA MUISLAMU
[ اللهم منزل الكتاب ، سريع الحساب ، اهزم الأحزاب ، اللهم اهزمهم وزلزلهم ]
مسلم 3/1362
[Ewe Mwenyezi Mungu, Mteremsha wa kitabu, Mwepesi wa kuwahisabu (waja wako) Vishinde vikosi. Ewe Mwenyezi Mungu, washinde na watetemeshe.] [Imepokewa na Muslim.]
SIKILIZA KUOMBA DUA DHIDI YA ADUI
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.