Menu

KITAAB AT-TAWHIID


kitab altawheed


باب (11) من الشرك: النذر لغير الله
وقول الله تعالى: {يُوفُونَ بِالنَّذْرِ وَيَخَافُونَ يَوْماً كَانَ شَرُّهُ مُسْتَطِيراً}   الإنسان:7

وقوله: {وَمَا أَنْفَقْتُمْ مِنْ نَفَقَةٍ أَوْ نَذَرْتُمْ مِنْ نَذْرٍ فَإِنَّ اللَّهَ يَعْلَمُهُ}    البقرة:270
وفي الصحيح عن عائشة رضي الله عنها: أن رسول الله صلى الله عليه وسلم قال: [من نذر أن يطيع الله فليطعه ; ومن نذر أن يعصي الله فلا يعصه]      رواه البخاري
:فيه مسائل
الأولي: وجوب الوفاء بالنذر
الثانية: إذا ثبت كونه عبادة الله، فصرفه إلى غيره شرك
الثالثة: أن نذر المعصية لا يجوز الوفاء به


MLANGO WA 11 KUWEKA NADHIRI KWA ASIYEKUWA MWENYEZI MUNGU NI SHIRKI


Na kauli ya Mwenyezi Mungu ﷻ:

[Wanatimiza ahadi,na wanaiogopa siku ambayo shari yake inaenea sana,]  [Al-Insaan: 7]

Na kauli Yake ﷻ :

[Na chochote mnacho toa au nadhiri mnazo weka basi hakika Mwenyezi Mungu anajua.]    [Al-Baqarah: 270]

Na katika Asw-Swahihi: Imepokelewa kutoka kwa ‘Aisha (Radhi za Allah ziwe juu yake) kwamba Mtume ﷺ amesema: [Atakayeweka nadhiri kumtii Mwenyezi Mungu na amtii. Na atakayeweka nadhiri kumuasi Mwenyezi Mungu basi asimuasi]    [Imepokewa na Bukhari]

Masuala Muhimu Yaliyomo:

1. Uwajibu wa kutekeleza nadhiri.

2. Ikiwa imethibitika kuwa nadhiri Ibada ya Mwenyezi Mungu ﷻ, basi kumfanyia mwengine ni shirki.

3. Kwamba nadhiri ya masia haifai kutekeleza.


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8355446
TodayToday562
Highest 09-30-2026 : 21356
US
Guests 113

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6ac8e0c4abf909615099561791549636
title_6ac8e0c4ac02713032010181791549636
title_6ac8e0c4ac0967569526091791549636

NISHATI ZA OFISI

title_6ac8e0c4acd7516014459591791549636
title_6ac8e0c4acdc32020166701791549636
title_6ac8e0c4ace0712329501781791549636 Add content here

HUDUMA MPYA

: 4 + 6 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com