Menu

SOMO LA FIQHI


somo lafiqhi


MIONGONI MWA HUKUMU ZA KUMFUATA IMAMU

1. Haisihi kwa mtu aliye nyumbani kwake kumfuata imamu kupitia kusikia sauti yake kwa kipaza sauti au kupitia kusikiliza redio.

2. Inafaa kumfuata imamu kutoka nje ya msikiti iwapo safu zimeungana.

3. Inasihi kwa maamuma kumfuata imamu hata kama wako juu ya sakafu ya msikiti au wakawa chini ya imamu iwapo wanasikia sauti yake.

4. Inafaa kwa mwenye kuswali faradhi kumfuata mwenye kuswali sunna au kinyume chake, mfano wa mwenye kuswali swala ya Isha nyuma ya mwenye kuswali Tarawehe, au kuswali pamoja na aliyepitwa na Swala ili apate thawabu ya Swala ya jamaa. Jabir bin Abdillah Radhi za Allah ziwe juu yake  amepokewa akisema kwamba "Mu’aadh alikuwa akiswali pamoja na Mtume ﷺ kisha akiwajia watu wake akiwaswalisha" [Imepokewa na Bukhari.].


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6785494
TodayToday495
Highest 07-17-2025 : 4917
US
Guests 31

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68a98c24b0cf42966647381755941924
title_68a98c24b0de01300998931755941924
title_68a98c24b0ec4228282541755941924

NISHATI ZA OFISI

title_68a98c24b24f94856172211755941924
title_68a98c24b25ec20744091491755941924
title_68a98c24b26b89955552381755941924 Add content here

HUDUMA MPYA

: 10 + 2 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com