Menu

KIPINDI CHA KUKATIKA KWA WAHYI


938


Ibni Saad amepokea kutoka kwa 'lbn Abbas maneno yaliyohusu "kukatika kwa Wahyi ambayo' kimsingi yanafahamisha kuwa kipindi hicho kilikuwa ni cha siku nyingi.  Baada ya uchunguzi wa kina imeonekana kuwa maelezo haya ndiyo yenye nguvu. 

Ama yale ambayo yametangaa miongoni mwa watu kuwa ukatikaji wa wahyi uliendelea kwa muda wote wa miaka mitatu au miaka miwili na nusu si kauli sahihi kwa hali zote, lakini hapa hatutoeleza suala hilo. 

Siku za kukatika kwa Wahyi zilikuwa ni za huzuni kubwa kwa Mjumbe wa Mwenyezi Mungu , zikiambatana na mastaajabu na mfadhaiko.*


*Arraheeq Al Makhtum Uk 107


LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6785139
TodayToday140
Highest 07-17-2025 : 4917
US
Guests 28

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68a952b9b751c6713458781755927225
title_68a952b9b760514911660261755927225
title_68a952b9b76f316474188071755927225

NISHATI ZA OFISI

title_68a952b9b8c8f15090971461755927225
title_68a952b9b8d7213283904381755927225
title_68a952b9b8e5b5790996361755927225 Add content here

HUDUMA MPYA

: 2 + 7 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com