Menu

KUCHUNGA MBUZI ﷺ


09


Mtume alikuwa hana kazi maalumu mwanzoni mwa ujana wake, isipokuwa imepokelewa kuwa alikuwa akichunga mbuzi kwa Banu Saad na mbuzi wengine wa watu wa Makka kwa malipo maalumnu.(1)

Na Manabii wote waliwahi kuchunga mbuzi,Asema Mtume :

 

ما بعث الله نبياً إلا رعى الغنمَ] فقال أصحابهُ: وأنت؟ قال : [ نعم، كنت أرعاها على قراريط لأهلِ مكةَ] رواه البخاري]

 

[Mwenyezi Mungu hakutumiliza Mtume ila alichunga Mbuzi,] wakasema Maswahaba je na wewe? akasema [Ndio nilikuwa nikichunga mbuzi kwa vijipeni kwa watu Makka]  [Imepokewa na Bukhari]

Nawanazuoni wameelezea hikma ya Manabii kuchunga mbuzi,ili waweze kuwa na unyeyekevu,na kustahimili katika kuwachunga wanyama hawa kwa kuweza kuwatafutia lisho bora,na kumchunga alie dhaifu katika wanyama hao,ipate kuwa ni kama chanzo cha kuweza kutahimili na majuku atakapokuwa amepewa utume na kuongoza binaadamu.


1) Ibnu Hisham, uzuu 1, Uk. 187-188


 

LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

WhatsApp This Page Now
 

Visitors Counter

6668027
TodayToday715
Highest 06-05-2025 : 6758
US
Guests 15

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_68669867761436184925161751554151
title_686698677622d16483867111751554151
title_686698677630d11008458791751554151

NISHATI ZA OFISI

title_68669867778e020131186481751554151
title_68669867779c8539681181751554151
title_6866986777aa45221158701751554151 Add content here

HUDUMA MPYA

: 2 + 8 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

UongofuUongofu.com