KUFARIKI KWA BABU YAKE MTUME ﷺ
Baada ya miaka minane na miezi miwili na siku kumi katika umri wake, Mtume ﷺ alifiwa na babu yake Abdul Muttwalib huko Makka. Kabla ya kufa kwake aliona ni bora akayarithisha malezi ya mjukuu wake kwa ammi yake Abi Twalib, ambaye ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja na baba yake *
* Arraheeq Al Makhtuum 86
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.