Menu

BUSTANI YA WATU WEMA


1463655589


وعن أَبي العباسِ سهلِ بنِ سعدٍ الساعِدِيِّ رضي اللَّه عنه قال : مرَّ رجُلٌ على النَبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم فقالَ لرجُلٍ عِنْدهُ جالسٍ : « ما رَأَيُكَ فِي هَذَا ؟ » فقال : رَجُلٌ مِنْ أَشْرافِ النَّاسِ هذا وَاللَّهِ حَريٌّ إِنْ خَطَب أَنْ يُنْكَحَ وَإِنْ شَفَع أَنْ يُشَفَّعَ . فَسَكَتَ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ، ثُمَّ مَرَّ رَجُلٌ آخرُ ، فقال له رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « مَا رأُيُكَ فِي هَذَا ؟ » فقال : يا رسولَ اللَّه هذا رَجُلٌ مِنْ فُقَرَاءِ الْمُسْلِمِينَ ، هذَا حريٌّ إِنْ خطَب أَنْ لا يُنْكَحَ ، وَإِنْ شَفَع أَنْ لا يُشَفَّعَ، وَإِنْ قَالَ أَنْ لا يُسْمع لِقَوْلِهِ . فقال رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « هَذَا خَيْرٌ منْ مِلءِ الأَرْضِ مِثْلَ هذَا»       متفقٌ عليه


Kutoka kwa Sahli bin Sa'ad Assaidy (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: Mtu mmoja alipita kwa Mtume wa Mungu akamwambia mtu alieketi pamoja naye: [Nini maoni yako kuhusu mtu huyu?] Akasema: "Mtu huyu ni miongoni mwa watu watukufu, Wallahi huyu anastahiki akienda kuposa aozeshwe na akiombea akubaliwe ombi lake" Mtume  ﷺ akanyamaza. Halafu akapita Mtu mwengine, Mtume  Akamuliza: [Nini maoni yako juu ya huyu?]  Akasema: Ewe Mtume  wa Mwenyezi Mungu huyu ni mtu miongoni mwa Mafukara wa Waislamu huyu afaa akaenda kuposa asiozeshwe na akiombea asikubaliwe ombi lake na akisema neno lake lisisikizwe Mtume  Akasema: [Huyu ni bora kuliko yule (mtu wa kwanza) hata wakijaa katika Ardhi kama yeye]     [Imepokewa na Bukhari na Muslim]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



LOGOISLAM

Search Videos

RSS Content

<

 

 

Visitors Counter

8031687
TodayToday770
Highest 07-31-2026 : 9991
US
Guests 110

Mkurugenzi na naibu wake

SS10

 

VIKAO VYA OFISI

title_6a8d79e777f8e4964514601787656679
title_6a8d79e777fde6075809141787656679
title_6a8d79e77802b17951598781787656679

NISHATI ZA OFISI

title_6a8d79e77866a19069796791787656679
title_6a8d79e7786b88642066981787656679
title_6a8d79e7787047222034901787656679 Add content here

HUDUMA MPYA

: 11 + 8 =

IslamChoice- Kiswahili

Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi‎ kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.

Go to top
UongofuUongofu.com