BUSTANI YA WATU WEMA
وعن ابن عباس رضي اللَّه عنهما في قِصَّة برِيرَةَ وزَوْجِها . قال : قال لَهَا النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم : « لَوْ راجَعْتِهِ ؟ » قَالتَ : يا رَسُولَ اللَّه تأْمُرُنِي ؟ قال : « إِنَّما أَشـْفعُ » قَالَتْ : لا حاجة لِي فِيهِ . رواه البخاري
Kutoka kwa Ibnu Abbas (Radhi za Allah ziwe juu yao) Ameelezea juu ya kisa cha Bariira na mumewe, Mtume ﷺ akamwambia [Waonaje lau ungalirejea kwake] Bariira akauliza waniamrisha? (Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu) akamjibu [Kwa hakika naombea] (Bariira) akasema sina haja naye [Imepokewa na Bukhari]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله
![]() | Today | 904 |
Ni mtandao mpya wa ulinganizi unao funza mafunzo ya dini ya kiislamu kuambatana na Qur'ani na Sunna za Bwana Mtumeﷺ zilizo sahihi kwa ufahamu wa wema walio tutangulia.